Jumatatu, 19 Mei 2014

Picha za Nusu Uchi za Irene Uwoya akiwa Bafuni zasambaa Kwa Kasi ....



Picha zinazodaiwa kuwa ni mpya za star wa filamu nchini Irene Uwoya akiwa bafuni na taulo na picha nyingine akiwa ameondoa taulo kifuani na kujiziba kwa mikono zimeanza kusambaa mitandaoni kwa kasi. 

Uwoya alikuwa kimya kidogo huku habari zake zikiendelea kutawala mitandaoni na magazetini kama kawaida lakini kwa picha hizi inaonekana ametoa  ishara  kuwa yupo kama kawa...
 
Kwasasa star huyo yupo nchini Uturuki na wasanii wenzake Vicent Kigosi "Ray", King Majuto na Jacob Stephen "JB" kwa ziara maalum ya kikazi hivyo haijajulikana kama picha hizo zimepigwa akiwa Tanzania au huko Uturuki. 
Kupiga picha kwa star akiwa na taulo tu ni jambo la kawaida tu kutegemea picha zimechukuliwaje na kwa lengo gani lakini picha ya Uwoya inayoleta utata hasa ni hiyo aliyoweka mikono kujiziba sehemu ya kifuani na namna alivyojiziba.

0 maoni:

Chapisha Maoni