Mwimbaji wa bongo Flava, H Baba amelazwa hostpitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya madaktari kugundua kuwa ana ugonjwa wa dengue ambao umeshawauguza watu mbalimbali.
H Baba alipelekwa hospitalini hapo jana usiku, na inaelezwa kuwa
alianza kujisikia anaumwa tangu Jumatano (June 5), wakati anajiandaa
kwenda kuuaga mwili wa marehemu George Tyson aliyefariki kwa ajali ya
gari.
“Dengue, Muhimbili now saa nane hii, usiku hali ilikuwa mbaya
zaidi imebidi tuletwe Muhimbili Hospital.amegundulika ni dengue. thanx
to god anaendelea vizuri and that is the last drip.asante my manager
Yahya for your greatest help.mungu akuzidishie.asanteni pia my fans kwa
maombi yenu.” Amesema mke wa H Baba, Flora Mvungi.
0 maoni:
Chapisha Maoni