Jumapili, 13 Aprili 2014

BREAKING NEWS / HALI HALISI, MAJI YAZUIA BARABARA KUU YA MOROGORO - CHALINZE ENEO RUVU DARAJANI SERIKALI YASITISHA HUDUMA YA USAFIRI MUDA HUU.



Msururu Mkubwa wa Magari barabara ya Chalinze Mlanzidi Eneo la Ruvu Darajani,Hali hii anatokana na Mvua Zinazozidi Kunyesha hali iliyopelekea Maji kujaa na Kukatiza Juu ya Barabara,Kwa usalama magari yote yamesimama kusubiri hali kutengemaa.
Maji yaliojaa pande zote za Barabara ya Morogoro chalinze Eneo la Ruvu darajani muda huu.Maji ni Mengi Mto haujulikano unapoanzia na kuishia maji yamejaa pande zote za barabara,Magari yamesimama na hakuna Gari linalovuka daraja la Ruvu kwa sasa.

0 maoni:

Chapisha Maoni