Mmoja wa wana familia
Bw. Salim Zagar akitoa taarifa fupi ya msiba wa marehemu Muhidin Maalim
Gurumo pamoja na mazishi yake kwa Mhe. Rais Jakaya M. Kikwete (picha:
IKULU)
Rais
Kikwete akimfariji mjane wa marehemu Muhidin Maalim Gurumo (mwenye
shuka nyeupe) na wanafamilia alipokwenda kuhani msiba huo Ubungo
Makuburi jana jioni ya April 15, 2014, siku ambayo marehemu alizikwa
kijijini kwao Masaki, Kisarawe, Mkoa wa Pwani.
Rais Kikwete pole Bw. Abdallah Muhidin Gurumo, mtoto wa marehemu Muhidin Maalim Gurumo na wanafamilia alipokwenda kuhani
Rais Kikwete Bw. Omar Muhidin Maalim Gurumo na wanafamilia alipokwenda kuhani
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Muziki wa dansi Bwana Brighton akimshukuru Rais Kikwete kwa kwenda kutoa pole ya msiba huo.
0 maoni:
Chapisha Maoni