![]() |
Twanga Pepeta walikuwepo kusindikiza Fainali za mashindano hayo katika Ukumbi wa Kilimani Landmark Dodoma |
![]() |
Jopo la Majaji waliotoa maauzi ya kumata mshindi wa Reds Miss UDOM 2014 |
![]() |
Mshindi wa Miss UDOM mwaka jana alikuwepo kumvisha taji Mshindi wa Mwaka huu |
![]() |
Meneja wa Makampuni ya Shabiby Bus Service David akikabidhi zawadi ya Pesa Taslimu za Kitanzania kwa Mshindi wa Kwanza wa Reds Miss UDOM 2014 Sophia Masei |
![]() |
Waandaji wa Mashindano hayo pamoja na Wadhamini wakiwa katika picha ya pamoja na Warembo mara baada ya kutangazwa mshindi |
![]() |
Washindi katika pozi la pamoja |
CTD:Bossngasa.com
0 maoni:
Chapisha Maoni