Mwenyekiti wa Bunge
Maalum la Katiba Samuel Sitta(kulia) akibadlishana mawazo Mjumbe wa
Bunge hilo Rashid Mtuta (kushoto) leo mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa
kikao cha asubuhi.
Naibu Katibu wa Bunge
Maalum ambaye ni Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
Thomas Kashillah (mwenye miwani) akibadlishana mawazo na Wajumbe wa
Bunge Maalum la Katiba leo mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa kikao cha
asubuhi.
Wajumbe wa Bunge Maalum
la Katiba wakiwasili katika ukumbi wa Bunge leo mjini Dodoma kwa ajili
ya kuendelea na mjadala kuhusu maboresho ya Sura ya Kwanza na Sita ya
Rasimu ya Katiba mpya.
Wajumbe wa Bunge Maalum
la Katiba Profesa Costa Mahalu (kushoto) na Profesa Mark Mwandosya
(kulia) wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma kabla ya kuanza mjadala
kuhusu maboresho ya Sura ya Kwanza na Sita ya Rasimu ya Katiba mpya.
Mwenyekiti wa Bunge
Maalum la Katiba Samuel Sitta akiwasili kwenye ukumbi wa Bunge kwa ajili
kuendesha na kusimamia mjadala kuhusu maboresho ya Sura ya Kwanza na
Sita ya Rasimu ya Katiba mpya.leo mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa kikao
cha asubuhi.
Mwenyekiti wa Bunge
Maalum la Katiba Samuel Sitta akiongoza dua ya kuliombea Bunge na Taifa
kabla ya kuanza mjadala kuhusu maboresho ya Sura ya Kwanza na Sita ya
Rasimu ya Katiba mpya.leo mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa kikao cha
asubuhi.
Mwenyekiti wa Bunge
Maalum la Katiba Samuel Sitta akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa Bunge hilo
leo mjini Dodoma wakati wa mjadala kuhusu maboresho ya Sura ya Kwanza
na Sita ya Rasimu ya Katiba mpya.
Wajumbe wa Bunge Maalum
la Katiba wakishiriki dua ya kuliombea Bunge hilo leo mjini Dodoma kabla
ya kuanza mjadala kuhusu maboresho ya Sura ya Kwanza na Sita ya Rasimu
ya Katiba mpya. picha na Bunge Maalum la Katiba-Dodoma.
0 maoni:
Chapisha Maoni