Alhamisi, 17 Aprili 2014
Home »
» MVUA ZAHARIBU RELI YA DSM-TANGA-MOSHI.
MVUA ZAHARIBU RELI YA DSM-TANGA-MOSHI.
Unknown 13:29
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), Kipalo Amani Kisamfu pamoja na wakurugenzi kutoka Wizara ya Uchukuzi wametembelea eneo hilo leo mchana kuona athari kubwa iliyotokea kwenye njia ya reli. Aidha, katika njia hiyo kilomita kumi na nane za njia ya reli zimeaharibiwa na mvua hizo zinazoendelea kunyesha katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania.
Related Posts:
WABUNGE WA UPINZANI WATOKA NJE BUNGE LA KATIBA April 16, 2014 at 5:01 WAJUMBE karibu wote wa vyama vya upinzani wanaoshiriki Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma, wametoka nje ya kikao cha leo jioni, wakipinga kite… Read More
BARABARA YA KONGOWE – MJI MWEMA – KIGAMBONI TAYARI INAPITIKA Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) kwa kushirikiana na Jeshi la Wananchi la Tanzania wamefanikisha kuifungua barabara ya Kongowe kuelekea Mjimwema hadi Kigamboni ambayo ilijifunga kutokana na kukatika kwa kalvati … Read More
Mafuriko jijini Dar.....Idadi ya waliofariki yafikia 41 4/16/2014 Mafuriko yaliyotokea Jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki yamesababisha vifo vya watu 41. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki alisema vifo 25 vimethibitishwa. Ameagiza poli… Read More
Picha za Rais Kikwete alipohani Msiba wa Muhidin Maalim Gurumo Ubungo Makuburi jana jioni 4/16/2014 Mmoja wa wana familia Bw. Salim Zagar akitoa taarifa fupi ya msiba wa marehemu Muhidin Maalim Gurumo pamoja na mazishi yake kwa Mhe. Rais Jakaya M. Kikwete (picha: IKULU) Rais Kikwete akimfa… Read More
MAMA SALMA KIKWETE AWATAKA WAKAZI WA KATA YA MSINJAHILI KUTOOGOPA KUVUTA UMEME MAJUMBANI MWAO Thursday, April 17, 2014 Na Anna Nkinda- Maelezo, Lindi Wakazi wa kata ya Msinjahili wilayani Lindi wametakiwa kutoogopa kuvuta umeme majumbani mwao kwa kuhofu kuwa wakifanya hivyo wataonekana ni matajiri kwa… Read More
0 maoni:
Chapisha Maoni