Jumapili, 13 Aprili 2014

DARAJA LINALOTENGENISHA DAR NA BAGAMOYO LAVUNJIKA..HAKUNA MAWASILIANO




Daraja linalotengenisha Dar es salaam na Bagamoyo lililopo maeneo ya Bunju B limevunjika na kufanya kutokuwepo mawasiliano kati ya Dar na Bagamoyo....Nimepata habari kuwa mtu wa Bagamoyo akitaka kuja Dar lazima azungukie Kibaha.

0 maoni:

Chapisha Maoni